Diva Wa Insta Lyrics
Gwaash, Mejja, K4Kanali
Source: lyrics.ovh
Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta Hujaskia Diva wa Insta Snapchat anapiga bukla Mboto anapiga kwa ndege Dem deng'a huwacha adi staki worry Fine gyal rasta na plus Ass ni peng na amewai Cheki niko rada ya catfish walai No simping simping too low Nimetight kimtiti ninadai tu quant nimpee love ya mtaa Stick from back ile tu ndo yutaka Time yangu ile tu ndo yutaka Bakmanyu niko area ya kwanza, na nadai Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta Ni diva wa insta manake Hawezi pigwa picha mahali kumeparara Nakwambia Insta ndo kwake Akiwa mahali posh lazima atatangaza Madiva wa Insta utawapata Ole Ole Polos, Ole Sereni Mimi pia utanipata Ole Ole Wangu Sina pesa ya kuchocha Madiva wa Insta Ngori Mkikosana toka Nairobi Ju atakuanika hapo Nairobi Gossip trending Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta Diva wa Insta lakini anakaa Elchapo Oh kumbe nilichochwa na filter O amekunja mwili kwa Insta Ndio atoe haga lakini nyuma anakaa ka ruler Lakini anakubalika ee Heri blowjob kuliko no job bana They do it for the clout ndo wabambe tu sana Lakini si ni para ya wakoba wa Insta Chura akiomoka itabidi umeng'ada Ndio maana tunawaita diva wa Insta Mkoba tu fisa ako Moshatha aah Fatboy!! Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta
Create Your Own Playlist
Save this song and build your perfect collection. 100% free, no ads.