Je?

Je? Lyrics

Devrix Da Fubu

Source: lrclib.net

A rabada rabada
Yelele mama‚ Yelele mama
Da fubu Da fubu dede
Yelele mama‚ Yelele mama
Sa leo nikose namna
Nikose pesa ya kukubuyia nyama ah?
Je utanipenda ama?
Hautoniacha kwangu we hautohama?
Ama nikikosa namna
Nd'o utanisema kwa watu vibaya?
Utanitukana?
Ama utanilindia penzi daima? ooh
Namini mi mtafutaji natafuta
Nikipata lazima nitaleta
Nachojua nikisaka nitapata
Ninaamini hautoniacha
Niambie mapema labda sijajua
Kama unanipenda sana au La
Kwa moyo wangu ukipenda
Hautoniacha
Peke yangu n'sibaki ubaki
Je utavumilia baby?
Hautoniacha hata iwe nini?
Utanilindia penzi langu?
Hautoniacha juu ya umasikini?
Je utavumilia baby?
Hautoniacha hata iwe nini?
Utapenda peke yangu?
Hadi nipate nikupe nini?
Je utavumilia baby?
Hautoniacha hata iwe nini?
Utanilindia penzi langu?
Hautoniacha juu ya umasikini?
Hautonuna nikikosa kuja
Na vitu mafungu?
Hautonuna nikikosa kazi
Masiku tabibu ?
Niambie kama hautanuna
Nikikosa wiki kuleta kakitu?
Hautanuna nikikosa
Uwezo wa nyama baby boo uuh?
Nikikosa namna leo utanipenda?
Ama ndio utaniachaga pekee yangu ?
Nikikosa namna leo utanipenda?
Ama utatangaza kwa wenzangu?
Mi mtafutaji natafuta
Nikipata lazima nitaleta
Nachojua nikisaka nitapata
Ninaamini hautoniacha
Niambie mapema labda sijajua
Kama unanipenda sana au La
Kwa moyo wangu ukipenda
Hautoniacha
Pekee yangu n'sibaki ubaki
Je utavumilia baby?
Hautoniacha hata iwe nini?
Utanilindia penzi langu?
Hautoniacha juu ya umasikini?
Je utavumilia baby?
Hautoniacha hata iwe nini?
Utapenda peke yangu?
Hadi nipate nikupe nini?
Je utavumilia baby?
Hautoniacha hata iwe nini?
Utanilindia penzi langu?
Hautoniacha juu ya umasikini?

Create Your Own Playlist

Save this song and build your perfect collection. 100% free, no ads.

Start My Playlist
Je? Lyrics - Devrix Da Fubu | SORI Magazine