Gere (feat. Alikiba) Lyrics
WHOZU
Fuente: lrclib.net
(Aah-aah) Yeah! (Aah-aah) (S2kizzy baby) Eh, boya mie, mie Mjinga wa mapenzi haswa, eh Ah, fala mie, oh, mie Na kwake nimeshanasa, eh-eh Supu haipandi mama Nikikuudhi naomba samahani mama, haya we Figo zitafeli mama Pombe siziwezi utanikuta mochwari mama Wa kwangu ni mtamu (mtam, mtam, mtam) Mambo bam-bam (bam, bam, bam) Twapeana zam-zam (zam, zam, zam) Huniishi ham (ham, ham, ham) Wanaona gere (Mbona wanaleta jealous) Wanaleta wivu (Mbona wanaleta jealous) Na wivu utawauwa (Ona wanaleta jealous) Wanaleta wivu (Mbona wanaleta jealous) Ah, wivu utawauwa (Aah-aah-aah) Mh-mh (aah-aah-aah) Wanavyosema ridhiki mafungu saba Aah, atuzidishie Maulana Mi nasema, tuyazidishe mahaba Ooh, oh, kukuacha mwiko laana wewe We familia yangu wewe, ah We mwanangu mwenyewe, ah-ah Mi siwezi ishi bila wewe, ah We mwanangu mwenyewe, ah-ah Kitu nachoogopa kuwa mbali Nitawezaje hii hali, hii hali Kiba Supu haipandi mama Nikikuudhi naomba samahani mama, haya we Figo zitafeli mama Pombe siziwezi utanikuta mochwari mama Wa kwangu ni mtam (mtam, mtam, mtam) Mambo bam-bam (bam, bam, bam) Twapeana zam-zam (zam, zam, zam) Huniishi ham (ham, ham, ham) Wanaona gere (Mbona wanaleta jealous) Wanaleta jealous (Mbona wanaleta jealous) Na wivu utawauwa (Ona wanaleta jealous) Wanaleta wivu (Ona wanaleta jealous) Wanaona gere (Aah-aah-aah, aah-aah-aah) (Kung Fu on the mix)
Crea tu propia playlist
Guarda esta canción y crea tu colección perfecta. 100% gratis, sin anuncios.