Diamond Platnumz - Natulizana (Official Music Video)

Diamond Platnumz - Natulizana (Official Music Video) Lyrics

Diamond Platnumz

Source: lrclib.net

Mmmh
Changanya tende na maziwa
Havifikii utamu wako mmmh
Wanipe embe au juice ya miwa ooh
Mie nitakunywa wewe hapo mmh
Unyagoni ulipochezwa
Hivi somo yako nani
Maana unayoninogeza
Kwangu ni mageni yaani
Namaliza Vingereza
Mara ooh I'm coming
Mengine siwezi kueleza
Maana haya hadharani
Halafu sipendi unavyo nispoil sana
Vigft gift mwenzio unanichanganya
Eti nakosa mimi unaniomba wewe msamaha
Huko kunipenda embu punguza bana ooh
Ooooh Ooh Ooh Nami natulizana
Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama
Ooooh Ooh Ooh Nami natulizana
Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama
Ooooh Ooh Ooh Nami natulizana
Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama
Ooooh Ooh Ooh Nami natulizana
Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama
Vichepu chepu vya mjini mafua
Ni vumbi la nini chafya
Kichefuchefu ya nini waje tibua
Unichukie uje niacha
Halafu huku kukususa we unajua
Ni utoto nikikua nitaacha
Tukigombana wahi kuniblockua
Ukichelewa puuh! Nafwa
Unyagoni ulipochezwa
Hivi somo yako nani
Maana unayoninogeza
Kwangu ni mageni yaani
Namaliza Vingereza
Mara ooh I'm coming
Mengine siwezi kueleza
Maana haya hadharani
Halafu sipendi unavyo nispoil sana
Vigft gift mwenzio unanichanganya
Eti nakosa mimi unaniomba wewe msamaha
Huko kunipenda embu punguza bana ooh
Ooooh Ooh Ooh Nami natulizana
Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama
Ooooh Ooh Ooh Nami natulizana
Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama
Ooooh Ooh Ooh Nami natulia dear
Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama
Ooooh Ooh Ooh Nami natulizana
Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama

Créez votre propre playlist

Sauvegardez cette chanson et créez votre collection. 100% gratuit, sans pub.

Créer ma playlist
Diamond Platnumz - Natulizana (Official Music Video) Lyrics - Diamond Platnumz | SORI Magazine | SORI Magazine