Gere (feat. Alikiba)

Gere (feat. Alikiba) Lyrics

WHOZU

Source: lrclib.net

(Aah-aah)
Yeah! (Aah-aah)
(S2kizzy baby)

Eh, boya mie, mie
Mjinga wa mapenzi haswa, eh
Ah, fala mie, oh, mie
Na kwake nimeshanasa, eh-eh

Supu haipandi mama
Nikikuudhi naomba samahani mama, haya we
Figo zitafeli mama
Pombe siziwezi utanikuta mochwari mama

Wa kwangu ni mtamu (mtam, mtam, mtam)
Mambo bam-bam (bam, bam, bam)
Twapeana zam-zam (zam, zam, zam)
Huniishi ham (ham, ham, ham)

Wanaona gere
(Mbona wanaleta jealous)
Wanaleta wivu
(Mbona wanaleta jealous)
Na wivu utawauwa
(Ona wanaleta jealous)
Wanaleta wivu
(Mbona wanaleta jealous)
Ah, wivu utawauwa

(Aah-aah-aah) Mh-mh (aah-aah-aah)

Wanavyosema ridhiki mafungu saba
Aah, atuzidishie Maulana
Mi nasema, tuyazidishe mahaba
Ooh, oh, kukuacha mwiko laana wewe

We familia yangu wewe, ah
We mwanangu mwenyewe, ah-ah
Mi siwezi ishi bila wewe, ah
We mwanangu mwenyewe, ah-ah
Kitu nachoogopa kuwa mbali
Nitawezaje hii hali, hii hali Kiba

Supu haipandi mama
Nikikuudhi naomba samahani mama, haya we
Figo zitafeli mama
Pombe siziwezi utanikuta mochwari mama

Wa kwangu ni mtam (mtam, mtam, mtam)
Mambo bam-bam (bam, bam, bam)
Twapeana zam-zam (zam, zam, zam)
Huniishi ham (ham, ham, ham)

Wanaona gere
(Mbona wanaleta jealous)
Wanaleta jealous
(Mbona wanaleta jealous)
Na wivu utawauwa
(Ona wanaleta jealous)
Wanaleta wivu
(Ona wanaleta jealous)
Wanaona gere

(Aah-aah-aah, aah-aah-aah)
(Kung Fu on the mix)

Créez votre propre playlist

Sauvegardez cette chanson et créez votre collection. 100% gratuit, sans pub.

Créer ma playlist
Gere (feat. Alikiba) Lyrics - WHOZU | SORI Magazine