Baridi

Baridi Lyrics

Zuchu

Source: YouTube Music

#INTRO
Nawaza mbali sana
Trone, easy

#VERSE
Kuna hadithi za paka na panya
Halafu kuna ya mimi na yeye
Kama mchuzi huungwi bila nyanya
Ndo mimi basi siwezi bila yeye
Ni kweli mie napenda utani
Ila swala la kumpenda yeye niko serious
Na ukitaka unijue kiundani
Basi mtongoze nikuonyeshe kazi

#BRIDGE
Mwenyewe ndo nna huyo huyo
Yaani nina mmoja mpenzi
Mwenyewe ndo nna huyoyo
Mi mambo ya kuchiti siyawezi

#CHORUS
Habibi nakupenda paka nahisi baridi
Habibi nakupenda paka nahisi baridi
Habibi nakupenda paka nahisi baridi
Habibi nakupenda paka nahisi baridi

#HOOK
Hhhhmmm Trone, this is amaizing
Ooooooh Zuu chu chu chu chuu
#VERSE
Ewe Hakimu mtukufu
Naomba niiwasilishe kesi
Namleta muhalifu
Anayefanya moyo wangu uende lesi
Huyu kanifanyaa mi nimekuwa mzembe
Imekuwa ngumu sana hata tu kutoka nje
Na ukubwa wote banaa naletewa peremende
Nsipokula twagombana eti hataki nikonde

#BRIDGE
Mwenyewe ndo nna huyo huyo
Yaani nina mmoja mpenzi
Mwenyewe ndo nna huyo huyo
Mambo ya kuchiti siyawezi

#CHORUS
Haaabibi!
Habibi nakupenda paka nahisi baridi
Habibi nakupenda paka nahisi baridi (Aaah Habibi)
Habibi nakupenda paka nahisi baridi (Me nahisi baridi)
Habibi nakupenda paka nahisi baridi

#OUTRO
Ooooh baby yayayayaya
Ooh Baby yoyoyoyoyoyo
Baby yayayayaya
Baby yoyoyoyoyoyo ooh
Habibi nakupenda paka nahisi baridi
Habibi nakupenda paka nahisi

अपनी खुद की प्लेलिस्ट बनाएं

इस गाने को सेव करें और अपना परफेक्ट कलेक्शन बनाएं। 100% फ्री, बिना विज्ञापन।

मेरी प्लेलिस्ट शुरू करें
Baridi Lyrics - Zuchu | SORI Magazine