Baridi Lyrics
Zuchu
Source: YouTube Music
#INTRO Nawaza mbali sana Trone, easy #VERSE Kuna hadithi za paka na panya Halafu kuna ya mimi na yeye Kama mchuzi huungwi bila nyanya Ndo mimi basi siwezi bila yeye Ni kweli mie napenda utani Ila swala la kumpenda yeye niko serious Na ukitaka unijue kiundani Basi mtongoze nikuonyeshe kazi #BRIDGE Mwenyewe ndo nna huyo huyo Yaani nina mmoja mpenzi Mwenyewe ndo nna huyoyo Mi mambo ya kuchiti siyawezi #CHORUS Habibi nakupenda paka nahisi baridi Habibi nakupenda paka nahisi baridi Habibi nakupenda paka nahisi baridi Habibi nakupenda paka nahisi baridi #HOOK Hhhhmmm Trone, this is amaizing Ooooooh Zuu chu chu chu chuu #VERSE Ewe Hakimu mtukufu Naomba niiwasilishe kesi Namleta muhalifu Anayefanya moyo wangu uende lesi Huyu kanifanyaa mi nimekuwa mzembe Imekuwa ngumu sana hata tu kutoka nje Na ukubwa wote banaa naletewa peremende Nsipokula twagombana eti hataki nikonde #BRIDGE Mwenyewe ndo nna huyo huyo Yaani nina mmoja mpenzi Mwenyewe ndo nna huyo huyo Mambo ya kuchiti siyawezi #CHORUS Haaabibi! Habibi nakupenda paka nahisi baridi Habibi nakupenda paka nahisi baridi (Aaah Habibi) Habibi nakupenda paka nahisi baridi (Me nahisi baridi) Habibi nakupenda paka nahisi baridi #OUTRO Ooooh baby yayayayaya Ooh Baby yoyoyoyoyoyo Baby yayayayaya Baby yoyoyoyoyoyo ooh Habibi nakupenda paka nahisi baridi Habibi nakupenda paka nahisi
Buat playlistmu sendiri
Save this song and build your perfect collection. 100% free, no ads.