
Natulizana Lyrics
Diamond Platnumz
출처: lrclib.net
Mmmh Changanya tende na maziwa Havifikii utamu wako mmmh Wanipe embe au juice ya miwa ooh Mie nitakunywa wewe hapo mmh Unyagoni ulipochezwa Hivi somo yako nani Maana unayoninogeza Kwangu ni mageni yaani Namaliza Vingereza Mara ooh I'm coming Mengine siwezi kueleza Maana haya hadharani Halafu sipendi unavyo nispoil sana Vigft gift mwenzio unanichanganya Eti nakosa mimi unaniomba wewe msamaha Huko kunipenda embu punguza bana ooh Ooooh Ooh Ooh Nami natulizana Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama Ooooh Ooh Ooh Nami natulizana Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama Ooooh Ooh Ooh Nami natulizana Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama Ooooh Ooh Ooh Nami natulizana Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama Vichepu chepu vya mjini mafua Ni vumbi la nini chafya Kichefuchefu ya nini waje tibua Unichukie uje niacha Halafu huku kukususa we unajua Ni utoto nikikua nitaacha Tukigombana wahi kuniblockua Ukichelewa puuh! Nafwa Unyagoni ulipochezwa Hivi somo yako nani Maana unayoninogeza Kwangu ni mageni yaani Namaliza Vingereza Mara ooh I'm coming Mengine siwezi kueleza Maana haya hadharani Halafu sipendi unavyo nispoil sana Vigft gift mwenzio unanichanganya Eti nakosa mimi unaniomba wewe msamaha Huko kunipenda embu punguza bana ooh Ooooh Ooh Ooh Nami natulizana Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama Ooooh Ooh Ooh Nami natulizana Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama Ooooh Ooh Ooh Nami natulia dear Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama Ooooh Ooh Ooh Nami natulizana Ooooh Ooh Ooh Tupendane kiama
나만의 플레이리스트 만들기
이 곡을 저장하고 나만의 컬렉션을 만들어 보세요. 100% 무료, 광고 없음.