Attention (feat. Zuchu) Lyrics
Whozu
来源: YouTube Music
Yeezeman) (Zoombie) Umetoka kwenu bush nakuona saivi unajiona, Una force kijipost post na hakuna kitu naona, Wewe sio wa kwanza kukupenda Naweza kukwacha ukaenda Ukitaka ushindani utaserrender Surrender utasurrender Haya haya tia maji ( haya haya tia maji) Kununua vyako huwezagi ( basi bora unywe maji) Huna jipya Tena umepauka Unapenda attention ( attention) Una sifa ona limekushuka Sikupi attention (mmmh) attention (weeeh) MUNGU naomba unisamehe Kwa hili kosa (hili kosa) Huyu mbwa nimemvumilia hadi nshachoka ( nshachoka) Nilikaa kimya bubu ukaleta uduanzi Sasa leo nakujibu upate vifollowers Kwanza kisu chako butu Hakinoi, hakikati yaani butututuu Tukutukutu tuuu Unajitia mchart huna kitu tu Unachoniuzi huna kumbukumbu Ulikuja juzi umekonda Kama mbu Nikakupa ujuzi kukutoa ukungu Usilete makuzi kaoshe ma……….. Huna jipya Tena umepauka unapenda attention ( kwendaaa) ( mxiuuu) attention (ovyoooo) Una sifa Ona limekushuka Sikupi attention (iloooo) attention (ilooo) eti nyonyonyo nyong’onyong’o mxiuuu Haya haya tia maji ( haya haya tia maji) Kununua vyako huwezagi (basi bora unywe maji) Huna jipya Tena umepauka Unapenda attention (attention) Una sifa Ona limekushuka Sikupi attention (attention)
创建你的专属歌单
收藏这首歌,打造你的完美曲库。100%免费,无广告。